
JE WAJUA?: Watanzania wengi hatuweki rekodi ya Mapato na matumizi tunayoyafanya kwa siku,juma ,mwezi na hata mwaka?Je unajua kwamba wengi wetu tunatamani kuwa na kumbukumbu na mwisho wa mwaka kujua tulipata kiasi gani na tulikitumia vipi?Sasa umerahisishiwa.Unaweza kuweka kumbukumbu ya mapato yako kila siku na matumizi.
Nimeandaa kitabu kitakachokurahisishia...