
MUNGU KATI YETU
Hekima ipo katika kutambua tofauti iliyopo miongoni mwetu
wanadamu.
“Ikawa alipokuwa ameketi nao chakulani, alitwaa mkate, akaubariki, akaumega,
akawapa.Yakafumbuliwa macho yao,wakamtambua,Kisha akatoweka mbele
yao.
Wakaambiana,Je mioyo yetu haikuwaka ndani yetu hapo alipokuwa akisema nasi
njiani, na kutufunulia maandiko?Luka...