Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Tuesday, December 20

KITABU KITAKACHOKUWEZESHA KUWEKA KUMBUKUMBU YA MAPATO NA NMATUMIZI YAKO

JE WAJUA?: Watanzania wengi hatuweki rekodi ya Mapato na matumizi tunayoyafanya kwa siku,juma ,mwezi na hata mwaka?Je unajua kwamba wengi wetu tunatamani kuwa na kumbukumbu na mwisho wa mwaka kujua tulipata kiasi gani na tulikitumia vipi?Sasa umerahisishiwa.Unaweza kuweka kumbukumbu ya mapato yako kila siku na matumizi. Nimeandaa kitabu kitakachokurahisishia...