Maisha yako yamechangia nini katika dunia hii?Maisha yako yameleta faida gani kwa wengine?Umekuwa zawadi kiasi gani kwa wengine?
Kipawa ulichopewa, uwezo wa ubunifu uliopewa,ujuzi uliopewa,umeutumia namna gani kwa ajili ya wengine,kama utukufu kwa aliyekuumba?
Wakati mwingi tumekuwa tukitazama tunapata nini,tunaongeza nini kwa ajili yetu pasipo kutazama...