Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza....... chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya wala ngozi,wala jina halitahesabika Ni NINI KITAHESABIKA.... KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua...