Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Tuesday, September 3

NINI THAMANI YAKO KWA WENGINE

Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza.......
chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo
Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya
wala ngozi,wala jina halitahesabika
Ni NINI KITAHESABIKA....
KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea
Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua wengine,,,na si kile cha kifahari ulichonunua
Ni kila upole,usawa,utu, na kuwanyanyua wote walio wahitaji,
nI vile ulivyo,wewe halisi,ulivyoyaishi maisha yako kwa ajili ya wengine
Si watu wangapi wanakufhamu,ama umaarufu wako bali ni kiasi gani wengine wataumia pale wanapokukosa
Ni ule umuhimu wako kwa wengine
Si kumbukumbu tu kwamba ulikwepo,bali ni kumbukumbu ya maisha ya wengine uliowabadilisha na kuwasaidia kufikia furaha.
Kitakachohesabika si ni muda gani utakmbukwa,bali ni nani na kwa nini unakumbukwa,ni kwa wema uliotenda
Katika maisha tuishio,ni muhimu kuishi maisha yenye faida kwa wengine....
jiulize ni nini kimekuleta duniani...ishi kilichokuleta - See more at: http://pongujoseph.blogspot.com/2012/09/ujumbe-2.html#sthash.nspMdMHf.dpuf

Nimepata kuandika makala kadhaa ambazo lengo lake ni kutufanya tujitambue sisi ni nani na kwa nini tupo hapa duniani.Wasomaji wapya wanaweza kusoma makala hizo kupitia blogu hii.

Nashukuru kupata ujumbe kutoka kwa wasomaji mbalimbali wakieleza jinsi walivyoguswa na kwa jinsi gani makala hizo zimekuwa zikiwasaidia.Nashukuru kuona nikiwa nuru kwa wengine,jambo ambalo nimekuwa nikilifikiria kwa muda mrefu na ndiyo sababu inayonifanya niandike.Siandiki kwa ajili ya kupata umaarufu ama fedha,bali nafanya hivi nikijua kuwa nina sababu kuwepo katika dunia hii.

Leo hii naandika tena kusisitiza kuyaishi maisha yetu kwa dhati na kuifanya dunia kuwa sehemu bora.

Kila kukicha upendo unapungua baina ya binadamu.Matokeo ya vita,visasi,dhuluma, majivuno,matabaka,umasikini  yanazidi kuongezeka.Mambo haya hayatokei kwa bahati mbaya.Ni matokeo ya jamii ambayo imejengwa na sisi wenyewe (binadamu) kwa mlolongo wa miaka kwa ujumuisho wa uchaguzi wa kila mmoja kwa nafsi yake na msukumo wa jamii.

Tumechagua eitha kwa kujua ama kutokujua kuifanya dunia ilivyo sasa.Mfano mzuri ni jinsi tunavyochagua kutumia nguvu kumaliza vita ama mfarakano.Hutashangaa kusikia nchi inaivamia nchi nyingine kwa madai ya kusuluhisha wakati tukijua wazi kuwa amani hailetwi kwa vita bali kwa upendo.

Tumechagua kuwatoa elimu iletayo utegemezi  na matabaka na kudai kuwa ni elimu bora.Yapo mambo mengi ambayo tunayafanya kinyume lakini tukitegemea matokeo chanya,yenye kuinua watu wote.

Baada ya matokeo ya uchaguzi wetu kuanza kuonekana,si jambo la kushangaza utakaposikia baadhi wakimsingizia shetani ama Mungu.Lakini wanamlaumu na kumsingizia shetani ama Mungu kwa matokeo ya maamuzi yao binafsi.Wanasahau kuwa yote hayo ni matokeo ya maamuzi yao.
binadamu wa kweli huishi kwa ajili ya wengine

Leo hii lengo langu ni kuwaalika wale wanaotambua kuwa wana sababu ya msingi kuishi hapa duniani,kuiishi sababu hiyo.Nawaalika kufungua milango,japo kidogo na kuanza kuchimbua ,kuvumbua na kuuishi wito ulioitiwa hapa duniani.Kuchukua hatua na kuanza kuishi maisha yako halisi ni mwanzo tosha wa kuwamulika wengine.Huitaji utajiri wa mali  ama nafasi,ulipo na hali uliyonayo inatosha kuanza kuishi ubinadamu.

Binadamu si tu mjumuiko wa nyama,mifupa na muonekano,.bali ni mjumuisho wa upendo,usawa,uhuru,hurun
ma,kujitolea na kuishi kwa ajili ya wengine.Ni pale unapoamua kuishi na kujitolea kwa ajili ya wengine ukitambua kuwa kila unachowatendea,unajitendea mwenyewe.

Nuru ya Mungu ipo ndani mwetu,nasi ni mawakala wake Mungu.Nuru ya Mungu huanza kung'aa pale unapoishi maisha yako kwa ajili ya wengine.Hakuna aliyekuja kushindana na mwenzake.Tupo kujenga pamoja.

Sisi ni wawakilishi wa Mungu  hapa duniani
Wale ambao wapo tayari kujitolea kwa ajili ya wengine katika nyakati za shida na maumivu pasipo kujali malipo,ni mfano bora wa binadamu wa kweli .Hutokea kwa hali mbalimbali...wanyama,binadamu,ndege,wadudu...Malaika hapa duniani ni wale ambao hutenda na kufanya kazi na kuanzisha mambo kwa ajili ya wengine.Hawako tayari kudhuru,kudharau,kuumiza,kuchutenga,kunyang'anya na hata kubagua binadamuwengine kwa hali yeyote   .Hawako tayari kutoa uhai wa yeyote,hata anayeonekana ni adui,kwani wanatambua thamani ya kila uhai wa nafsi iliyopo hapa duniani.Hivyo huwa tayari kutumia nuru  na iliyo ndani mwao kuwamulika wengine na kuwakumbusha sababu ya wao kuwepo katika dunia hii na hatimae waiishi sababu hiyo.Ni mfano bora wa binadamu wa kwelu

Nakualika uchimbue ndani ya moyo wako na kufungua chemchem ya Mungu ndani mwako na kuiishi pasipo kuchoka

Ushiriki wako katika ujenzi wa dunia mpya(KATIKA FIKRA MPYA) unatokana na maamuzi na matendo yako ya kila sekunde.Ujenzi unaanza ndani mwako kwanza.Ubinadamu umetokana na maamuzi ya Muumba.Na matumizi yake yanaanza na uamuzi ndani mwako.Kila fikra yako kuhusu wewe,dunia unayoijenga na maisha ndani ya dunia mpya.Kila mmoja akifanya maamuzi sahihi,tunajenga dunia mpya yenye uhuru wa kweli,upendo na amani

 Napenda kunukuu maneno niliyopata kuyaandika wakati fulani.

ishi kwa ajili ya wengine,tenda kwa ajili ya kila binadamu

Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza.......
chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo
Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya
wala ngozi,wala jina halitahesabika
Ni NINI KITAHESABIKA....
KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea
Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua wengine,,,na si kile cha kifahari ulichonunua
Ni kila upole,usawa,utu, na kuwanyanyua wote walio wahitaji,
nI vile ulivyo,wewe halisi,ulivyoyaishi maisha yako kwa ajili ya wengine
Si watu wangapi wanakufhamu,ama umaarufu wako bali ni kiasi gani wengine wataumia pale wanapokukosa
Ni ule umuhimu wako kwa wengine
Si kumbukumbu tu kwamba ulikwepo,bali ni kumbukumbu ya maisha ya wengine uliowabadilisha na kuwasaidia kufikia furaha.
Kitakachohesabika si ni muda gani utakmbukwa,bali ni nani na kwa nini unakumbukwa,ni kwa wema uliotenda
Katika maisha tuishio,ni muhimu kuishi maisha yenye faida kwa wengine....
jiulize ni nini kimekuleta duniani...ishi kilichokuleta - See more at: http://pongujoseph.blogspot.com/2012/09/ujumbe-2.html#sthash.nspMdMHf.dpuf
Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza.......
chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo
Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya
wala ngozi,wala jina halitahesabika
Ni NINI KITAHESABIKA....
KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea
Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua wengine,,,na si kile cha kifahari ulichonunua
Ni kila upole,usawa,utu, na kuwanyanyua wote walio wahitaji,
nI vile ulivyo,wewe halisi,ulivyoyaishi maisha yako kwa ajili ya wengine
Si watu wangapi wanakufhamu,ama umaarufu wako bali ni kiasi gani wengine wataumia pale wanapokukosa
Ni ule umuhimu wako kwa wengine
Si kumbukumbu tu kwamba ulikwepo,bali ni kumbukumbu ya maisha ya wengine uliowabadilisha na kuwasaidia kufikia furaha.
Kitakachohesabika si ni muda gani utakmbukwa,bali ni nani na kwa nini unakumbukwa,ni kwa wema uliotenda
Katika maisha tuishio,ni muhimu kuishi maisha yenye faida kwa wengine....
jiulize ni nini kimekuleta duniani...ishi kilichokuleta - See more at: http://pongujoseph.blogspot.com/2012/09/ujumbe-2.html#sthash.97x7DSLn.dpuf

" Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza.......
chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo
Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya
wala ngozi,wala jina halitahesabika
Ni NINI KITAHESABIKA....
KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea
Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua wengine,,,na si kile cha kifahari ulichonunua
Ni kila upole,usawa,utu, na kuwanyanyua wote walio wahitaji,
nI vile ulivyo,wewe halisi,ulivyoyaishi maisha yako kwa ajili ya wengine
Si watu wangapi wanakufahamu,ama umaarufu wako bali ni kiasi gani wengine wataumia pale wanapokukosa
Ni ule umuhimu wako kwa wengine
Si kumbukumbu tu kwamba ulikwepo,bali ni kumbukumbu ya maisha ya wengine uliowabadilisha na kuwasaidia kufikia furaha.
Kitakachohesabika si ni muda gani utakumbukwa,bali ni nani na kwa nini unakumbukwa,ni kwa wema uliotenda
Katika maisha tuishio,ni muhimu kuishi maisha yenye faida kwa wengine....
jiulize ni nini kimekuleta duniani...ishi kilichokuleta
-Pongu Joseph
Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza.......
chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo
Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya
wala ngozi,wala jina halitahesabika
Ni NINI KITAHESABIKA....
KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea
Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua wengine,,,na si kile cha kifahari ulichonunua
Ni kila upole,usawa,utu, na kuwanyanyua wote walio wahitaji,
nI vile ulivyo,wewe halisi,ulivyoyaishi maisha yako kwa ajili ya wengine
Si watu wangapi wanakufhamu,ama umaarufu wako bali ni kiasi gani wengine wataumia pale wanapokukosa
Ni ule umuhimu wako kwa wengine
Si kumbukumbu tu kwamba ulikwepo,bali ni kumbukumbu ya maisha ya wengine uliowabadilisha na kuwasaidia kufikia furaha.
Kitakachohesabika si ni muda gani utakmbukwa,bali ni nani na kwa nini unakumbukwa,ni kwa wema uliotenda
Katika maisha tuishio,ni muhimu kuishi maisha yenye faida kwa wengine....
jiulize ni nini kimekuleta duniani...ishi kilichokuleta - See more at: http://pongujoseph.blogspot.com/2012/09/ujumbe-2.html#sthash.97x7DSLn.dpuf

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 Comments:

Post a Comment

maoni yako hapa