Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Tuesday, June 26

                                                    SOTE TUMEI...

Monday, June 25

IPO SAUTI ,SAUTI KUU NDANI MWAKO Kila mmoja ameumbwa akiwa na sauti kuu ndani mwake....ni sauti ambayo haijifichi....ni sauti ambaye hutufanya tuwajali wengine,kuwaheshimu wengine na kuwachukulia katika hali ya huruma,usawa na undugu.....ni sauti ambayo hakuna anayeweza kuikataa.... sauti hii huitwa upendo......sauti hushinda yote......ni upendo...

Saturday, June 23

...

MWANANGU MPENDWA je wafahamu faida ya kujitolea,je unajitoa vipi kwa wengine? wapo wanaotoa ili wapate kujulikana.....hawa thawabu yao ni kujulikana, wapo wanaotoa ili kupata sifa...thawabu yao ni sifa...... wapo wanaotoa kwa shinikizo......hawa hudumu kwa shinikizo ipo kaanuni moja.....ya kwamba kila atoaye,hupata sawia na anavyotoa ukitoa kwa roho...

kujitole

...

Joseph Pongu WEWE NI JINSI UFIKIRIVYO kama unafiri unaweza,umeweza, kama unafikiri utashindwa,umeshindwa, kama unafikiri wengine wana uwezo kuliko wewe ,ukatia uoga basi ndivyo utakavyokuwa.... chukua mfano..mwanafunzi anapoweka wazo kuwa hesabu ni ngumu,basi hata anapopewa hesabu ndogo hushindwa......si kwa sbbu hyo hesabui ni ngumu,bali...