Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Saturday, June 23

MWANANGU MPENDWA
je wafahamu faida ya kujitolea,je unajitoa vipi kwa wengine?
wapo wanaotoa ili wapate kujulikana.....hawa thawabu yao ni kujulikana,
wapo wanaotoa ili kupata sifa...thawabu yao ni sifa......
wapo wanaotoa kwa shinikizo......hawa hudumu kwa shinikizo
ipo kaanuni moja.....ya kwamba kila atoaye,hupata sawia na anavyotoa
ukitoa kwa roho iliyokunjamana,utapata kwa roho ya kukunjamana,ukitoa kwa shinikizo,utapata kwa shinikizo.....mwanangu....nikupe siri,ya kuwa ipo faida kubwa katika kutoa ,kuliko kupokea......jifunze kujitolea kuliko kupokea,toa pasipo tegemeo la kurudishiwa...ukitegemea kutoa ili nawe upewe,utavunjwa moyo,kwa sbbu hutapata kama ulivyotegemea....lkn ukitoa pasipo tegemeo la kupata,utapata kikubwa pasipo tegemeo...hii ni kanuni ya kweli...
jitolee wakati wowote pasipo kujali rangi,kabila,dini wala jinsia....wengi hutoa kwa ubaguzi...nakwambia nao watapata kwa ubaguzi

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 Comments:

Post a Comment

maoni yako hapa