Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Saturday, June 23

WEWE NI JINSI UFIKIRIVYO
kama unafiri unaweza,umeweza,
kama unafikiri utashindwa,umeshindwa,
kama unafikiri wengine wana uwezo kuliko wewe ,ukatia uoga basi ndivyo utakavyokuwa....
chukua mfano..mwanafunzi anapoweka wazo kuwa hesabu ni ngumu,basi hata anapopewa hesabu ndogo hushindwa......si kwa sbbu hyo hesabui ni ngumu,bali kwa sababu,ya wazo lililotoka kwa mwaNAfunzi...na hvyo akili na moyo ukatimiza.......
usiushushe chini ya kiwango uwezo ulionao......wazia mema juu yako...waza kufanya makubwa.,......
waliotengeneza ndege,magari,simu,komputa na kila kitu......
hawakuwa wasomi wa kukariri masomo drsani,
hawakuwa matajiri
hawakuwa na vichwa viwili
walianza na kuwaza na kuamini uwezo wao wa kufanya makuu,
walitambua ya kuwa yule Mungu ambao wengine wanamtafuta huku nakule
yupo ndani mwao
wakatumia kila uwezo huo kutimiza ndoto zao........kwa ninii isiwe mimi,kwanini isiwe wewe,wao waweze wana nini,na kwa nn ss tushindwe.....
JINSI MTU AJIWAZIAYE....NDIVYO HUWA

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 Comments:

Post a Comment

maoni yako hapa