Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Monday, June 25

IPO SAUTI ,SAUTI KUU NDANI MWAKO
Kila mmoja ameumbwa akiwa na sauti kuu ndani mwake....ni sauti ambayo haijifichi....ni sauti ambaye hutufanya tuwajali wengine,kuwaheshimu wengine na kuwachukulia katika hali ya huruma,usawa na undugu.....ni sauti ambayo hakuna anayeweza kuikataa.... sauti hii huitwa upendo......sauti hushinda yote......ni upendo tu ndio unaoweza kusuluhisha na kuondoa kila aina ya chuki,manyanyaso,majivuno na kejeli......ni sauti hii pekee inayoweza kumfanya adui kuwa rafiki mkubwa...ni sauti hii ambayo ipop ndani yetu...sauti hii huitwa Mungu...ipo kwa kila mmoja wetu.....tuisikilize sauti hii ili kuufanya ulimwengu kuwa sehemu bora ya kuishi

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 Comments:

Post a Comment

maoni yako hapa