Nuru Ndani Yako

Nuru Ndani Yako
Nuru Ndani Yako
Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

KARIBU SANA

HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH

Monday, September 30

SIFA ZA BINADAMU ANAYEJITAMBUA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Sunday, September 8

JINSI YA KUPIGIA KURA BLOG YAKO KATIKA SHINDANO LA TANZANIA BLOG AWARDS

Napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu kwenu kwa kupendekeza blog hii kushiriki katika shindano la Tanzania blog awards. Blog hii imependekezwa katika vipengele viwili ambavyo ni 1. Best Inspirational Blog 2. Best Creative Writing Blog  Nakuomba kwa nafasi yako uchukue muda kuipigia kura blogu yako katika vipengele tajwa hapo juu...

UJUMBE WA LEO JUMAPILI

Kwa kila hatua unayopiga katika kujitambua na kutumia nuru uliyonayo,inazidi kukufanya uvumbue uwezo wako katika kupenda wengine ,sababu ya kuwapenda na kutenda hivyo.Inakufanya ujue faida na sababu ya kujitolea ili nawe upokee na kuiishi,kujifunza na kufundisha wengine kupitia maisha yako. Safari ya kuvumbua uwezo ulio ndani mwako ndiyo safari muhimu...

Tuesday, September 3

NINI THAMANI YAKO KWA WENGINE

Ipo siku ambayo hutahesabu tena ni nini unamiliki ama umepoteza....... chuki,hasira na majaribu yote hayatakuwepo Haitajalisha kuwa ulikuwa na sura nzuri ya mvuto ama ulionekana wa sura mbaya wala ngozi,wala jina halitahesabika Ni NINI KITAHESABIKA.... KiTAHESAbika ulichotoa kwa wengine na si ulichopokea Kitahesabika ulichojenga ukiwa duniani,kilichowainua...

Friday, August 30

KWA SABABU HATUVIONI HIVI NDANI MWETU,HATUWEZI KUWAPA WENGINE

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Maisha yako yanaongea

  matendo yako kwa wengine huonesha jinsi ulivyo Ukitambua kuwa maisha yako ni ya thamani kwako na kwa wengine,unafungua ndani ya moyo wako kuishi kwa dhati.Sauti ndani mwako inaanza kusikika kwa viumbe wengine.Unapata thamani zaidi kupita vito vya thamani na zaidi ya fedha. Maisha yako yanakuwa mwanga kwa viumbe wote.Unaanza kutumia kila...

Wednesday, August 28

PENDEKEZA BLOGU HII KWENYE SHINDANO LA BLOG 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...