tunapaswa kuwapenda wengine ,kuthamini changamoto zao na kuthamini mawazo yao ,kuwa tayari kujitolea pasipo kujali rangi,kabila,dini,taifa.picha kwa hisani ya helped by animals
HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH
dunia inakuhitaji uwatazame wenzako kwa huruma,ukijali mahitaji yao,ukiwainua na kuwafanya wajitambue na kujikwamua(picha kwa hisani ya www.viewtz.com)
DUNIA HAIITAJI WATU WENYE FEDHA NYINGI,MAGARI,NYUMBA,NGUO NYINGI AMA WENYE UMAARUFU MKUBWA..DUNIA INAHITAJI WATU WENYE KUJITOLEA KWA WENGINE,WENYE UTAJIRI WA UPENDO,WENYE KUUGUZA,KUPONYA,KUAMSHA MATUMAINI YA WALIOKATA TAMAA,WENYE KUSAMEHE NA KUTAZAMA UPYA KWA UPENDO,WENYE KUPIGANIA UHURU ,WENYE KUJALI NA KUTETEA WENGINE.,WENYE KUTENDA YALE YANAYOONEKANA HAYAWEZEKANI,..DUNIA INAKUHITAJI WEWE KWA YOTE HAYA.CHUKUA HATUA
tunapaswa kuwapenda wengine ,kuthamini changamoto zao na kuthamini mawazo yao ,kuwa tayari kujitolea pasipo kujali rangi,kabila,dini,taifa.picha kwa hisani ya helped by animals
binadamu tumeumbwa tukiwa na uwezo mkubwa...uwezo wa kimungu ndani yetu.....kabla ya hapo tulikuwa katika maisha mengine....tukapewa mwili ...kuja hapa duniani kuonesha utukufu wa Mungu ulio ndani mwetu...hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kujitambua na kuitikia wito alioitwa ,na kuutimiza kwa nguvu zote,moyo wote,ili utukufu/nuru ya Mungu iliyo ndani mwetu ionekane kwa wengine..ili nao waiishi na kuonesha nuru hiyo pale watakapojifunza toka kwetu na kufanya uchaguzi kadiri ya mguso wa moyo ambako ndiko ile nuru huishi
Copyright © 2013 KWA MWANANGU MPENDWA.
0 Comments:
Post a Comment
maoni yako hapa