HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH
NITAPAA,NITANG'AA KUFIKA KULE AMBAKO WENGI WANASEMA SITAFIKA
NITAPAA,NITANG'AA KUFIKA KULE AMBAKO WENGI WANASEMA SITAFIKA
WEWE NI WA KIPEKEE,HUNA TOFAUTI NA WALIO NA MALI NYINGI,HUNA TOFAUTI NA WENYE ELIMU YA JUU YA DIGRII....
UTANGAAA,UTAPAA
-Kuwa tayari kutambua ya kuwa wewe una uwezo mkubwa ndani
yako....utapaa,kuwa tayari kutambua kuwa vipo vikwazo,milima na
mabonde...lakini siri ni moja.....weka visheni yako juu ya jambo
unalotaka kutimiza.....UTANG'AA,UTAPAA...
SIKILIZA HISIA ZA MOYO WAKO....SIKILIZA MOYO WAKO...TIMIZA MOYO WAKO UNAPOKUTUMA..UTANG'AA,UTAPAA...
KUWA
NA VISHENI MWANANGU......HUTAKATA TAMAA KAMWE KWANI UNAJUA MWISHO WA
PALE UNAPOTAKA KUFIKA,HIVYO VIKWAZO ,MILIMA NA MABONDE,HAVITAKUDONDOSHA
KAMWE KWANI WAIJUA NJIA,WAUONA MWISHO...
.UTANG'AA,UTAPAA....UMEPEWA
UHURU USIO NA KIKOMO WA KUCHAGUA...UMEPEWA UHURU WA KUTUMIA FIKRA ZAKO
PASIPO UKOMO...UTANG'AA,UTAPAA...UTAPAMBANA NA WENYE NGUVU,WENYE KASI YA
KUTISHA ,LAKINI WEWE UTASHINDA NA SABABU NI MOJA,,,WEWE UNAAMINI KATIKA
USHINDI...WEWE WATAZAMA MBALI,HATA ZAIDI YA MAWINGU...MBELE YA
BAHARI,NDANI ZAIDI YA MIAMBA..
UTASHINDAWEWE UNA
NURU...NURU NDANI YAKO...NURU IKUONGOZAE HATA KATIKA MWISHO WA UPEO
WAKO......UTAPAA...WAO WANAVUTA OKSIJENI ...NAWE PIA...KWA NINI WEWE
USISHINDE?HAUMTEGEMEI MGANGA,WALA MIUJIZA YA KUFIKIRIKA...BALI WAUTAMBUA
UWEZO WAKO WA KIPEKEE ALIYEKUPA MUUMBA..... UTADONDOKA MARA
NYINGI,UTAUMIA,UTACHOKA SANA LAKINI WAITAMBUA FARAJA YAKO...PALE
UFIKIAPO MWISHO...HIVYO KWAKO HIVI NI VIGEZO MUHIMU KWENDA MBELE,
KWENDA JUU ZAIDI.
NJIANI KATIKA MAGUMU UTAGUNDUA MBINU MBINU MPYA NA DAIMA HUTAPOTEZA MWELEKEO-UTANG'AA,UTAPAA...
TAZAMA
WATAKUCHEKA...WATASEMA HUNA LOLOTE,WENGI WALISHASHINDWA...LAKINI WAONA
MBALI,NAWE WAUJUA MWISHO,NAO MOYO WAKO UMEJAA NGUVU,ISIYO
KIFANI....WATAFIKIRI YA KUWA HUTATOKA ULIPO...LAKINI TAZAMA WANAPOKUJA
WATAKUKUTA UKIWA JUU....JUUU...NAO WATAPEWA TAARIFA YA
KUWA...HAYUPO...KATANGULIA .... MTAMKUTA....KAMA ALIVYOSEMA
simama mwanangu......usikumbuke maumivu...kumbuka faraja iliyobaki......allow your wing to fly to greater
ruhusu mabawa ya uwezo Uliopewa ,kuruka juu na kuyafikia mafanikio makubwa,,...
UMESHAJITAMBUA NAWE WAUONA MWISHO..........ruka kwa nguvu zote,usisikilize maneno ya wengine ya kukukatisha tamaa,fanya yote ukisukumwa na upendo...hutakatishwa tamaa na milima wala mabonde.....changamoto hazitakufanya utepoze mwelekeo...kuwa imara kwani M UNGU YU NDANI MWAKO.... simama mwanangu......usikumbuke maumivu...kumbuka faraja iliyobaki......allow your wing to fly to greater height
NITAPAA KUYAFIKIA MAFANIKIO LICHA YA KUWA WENGINE HAWAAMINI
NITAPAA KUYAFIKIA MAFANIKIO LICHA YA KUWA WENGINE HAWAAMINI
MWANANGU,CHUKUA KILA KIKWAZO KATIKA MINAJILI CHANYA,IWE NDIO SABABU YA WEWE KUFIKIA MAFANIKIO,WAKATI WAO WANASEMA HAIFAI,HAITAWEZEKANA,HAITATOKEA KAMWE...WEWE UTAWEZA KWA SABABU TU UMEAMINI NA KUCHUKUA HATUA...KUTUMIA NGUVU ZOTE NA UWEZO WAKO WOTE..TAZAMA UTAFIKA-TAFAKARI
Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
binadamu tumeumbwa tukiwa na uwezo mkubwa...uwezo wa kimungu ndani yetu.....kabla ya hapo tulikuwa katika maisha mengine....tukapewa mwili ...kuja hapa duniani kuonesha utukufu wa Mungu ulio ndani mwetu...hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kujitambua na kuitikia wito alioitwa ,na kuutimiza kwa nguvu zote,moyo wote,ili utukufu/nuru ya Munguiliyo ndani mwetu ionekane kwa wengine..ili nao waiishi na kuonesha nuru hiyo pale watakapojifunza toka kwetu na kufanya uchaguzi kadiri ya mguso wa moyo ambako ndiko ile nuru huishi