TAMBUA HILI.Hakuna mwenye jukumu la kukufanya uwe na furaha,amani,...hakuna ataKaye kuletea wewe maendeleo..hakuna nguvu nje yako.....hakuna uchawi wala kiini macho....Wewe ni kila kitu..wewe nijibu la kila ukitakacho katika maisha yako ,MAISHA YAMEJAA vipindi vingi,vya furaha,vya amani na changamoto mbalimbali......mtazamo wako daima huleta maatokeo ya maisha yako.......
ukitegemea rafiki akuletee furaha.............
ukitegemea rafiki ndugu yako akuletee maendeleo........
ukitegemea serikali ikuletee kila unalolitaka.......
daima utavunjika moyo........utavunjika moyo kwa sababu utapata tofauti na mategemeo yako......utapata kuumia na kuvunjika moyo.........
tambua ya kuwa wewe binafsi umeubwa ukiwa kamili....ukapewa uwezo wa kuifanya dunia kuwa sehemu bora....hivyo furaha,amani,maendeleo,chuki,ghasia umasikini huanza na wewe....fikra zako ndizo daima zitakazo kubomoa ama kukujenga.....ukihisi huwezi hutaweza...ukifikiri kuwa wewe utakuwa masikini vivyo hivyo ndivyo matokeo yake
tambua ya kuwa kila unachofikiri hubadilishwa kuwa halisi.......uombapo na kunena....hutokea
tambua pia pale unapoweka imani ......hutokea kadiri imani yako inavyokutuma
daima tazama moyoni mwako...jiulize ni nani aliye rafiki yako bora...nani mwenye jukumu la furaha yako..je ni mwenzi wako,ni mzazi wako...ni rafiki yako?jibu ni hapana....kila unachokihitaji kinaanza na wewe.......jifunze kuyakubali maisha,uyaishi....kubali changamoto na kuzifanya kuwa ni ngazi yako ya mafanikio.....nawe tazama utaanza kusimama mwenyewe,kuwa mwenye furaha na daima hutavunjika moyo......daima jifunze kusababisha furaha,upendo na amani kwa wengine....kwani maisha huwa ya furaha pale unapotoa kuliko pale unapopokea
kumbuka,hakuna uchawi kuyafgikia mafanikio,ni kuamua sasa kuchukua hatua na kuishi maisha yako.....ukijitoleas kufanya kila jambo kwa ajili ya wengine mpaka pumzi yako ya mwisho
KARIBU SANA
HONGERA KWA KUCHAGUA BLOG HII.MAISHA NI UCHAGUZI...NA KILA UCHAGUZI NI SAHIHI....KILA UCHAGUZI UNA MATOKEO YAKE.......KUCHAGUA KUSOMA YALIYO KATIKA BLOG HII KUTAKUFANYA UJITAMBUE,,UUJUE UWEZO MKUBWA ULIO NDANI MWAKO NA HIVYO KUFIKIA MAFANIKIO UNAYOYAKUSUDIA........WEWE NI ZAIDI YA UJIONAVYO,NI ZAIDI YA UJIPIMIAVYO.....UTATAMBUA YA KUWA MUNGU AMBAYE KILA UCHAO WATU WANAMTAFUTA...YU NDANI MWAKO.....UTATAMBUA KUWA U MWANGAZA.....NA UTATAMBUA JINSI YA KUUTUMIA KUWAMULIKA WENGINE...NA KUIFANYA NURU YA MUNGU ILIYO NDANI MWAKO IONEKANA KWA WENGINE-PONGU JOSEPH
Tuesday, July 3
TAMBUA HILI
kwa mwanangu mpendwa
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment
maoni yako hapa